Bintiwangara
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 551
- 287
- Thread starter
-
- #21
Jamani nisaidieni ndugu yenu na mimi nihamie mjini,hukungara kumenishindaugekuwa mwanamume ningekugawia chumba kimoja, ninavyo vitatu, sebule na jiko (floor ya sita, silipii lift hivyo lazima uote vigimbi). Barelawyer njoo fast msaidie Bintiwangara ataadhirika mjini hapa!
Jamani nisaidieni ndugu yenu na mimi nihamie mjini,hukungara kumenishinda
Jamani nisaidieni ndugu yenu na mimi nihamie mjini,hukungara kumenishinda
bado sijapata ndugu ,Kwani bado haujapata mkuu, umeongea na madalali?
bado sijapata ndugu ,