El nino jr
Member
- Aug 7, 2014
- 66
- 24
wasiliana na nhc arusha utapata majibu.Habari za mchana wana jf,nilikuwa nauliza uwezokano wa kupata izi nyumba za shirika letu la NHC,maana nimeamishiwa kazi mkoani arusha.
Mimi naulizia kwa Dodomawasiliana na nhc arusha utapata majibu.
Mimi naulizia kwa Dodoma