mkabia juu
New Member
- Jan 15, 2025
- 1
- 0
wadau, hasa wanaoishi Zanzibar naomba msaada wenu,
Nitakuwa Zanzibar kikazi kwa mwaka mmoja kuanzia mwezi wa pili.
Natafuta Nyumba ya kupanga 1 Bedroom ikiwa master room ni vyema zaidi, Sitting room na jiko.
Kama itakuwa ngumu kupata basi walau 1 master bedroom, sitting room na jiko. Itapendeza zaidi nyumba ikiwa ndani ya fence.
Ningependa maeneo ya Stone Town, Malindi, Mlandege, Mandege na Vikokotoni kwa kifupi Wilaya ya Mjini
Mwenye taarifa tafadhali ni PM......
Bajeti yangu ni kuanzia 80k hadi 200k
Naomba kuwasilisha