mkabia juu
New Member
- Jan 15, 2025
- 1
- 0
Katika sehem amblyopia sitakuja ishi ni zanzibar labda kutembea tu na kurudi home wanamaisha Yao ya ajabu Sana yani ukifikia kwa mtu bas utashangaa kila mtu anajua ulipofikia na ukiwa WA Bara huku hata ukiwatajia Jina lake watakupachika Jina LA kikuudhi uchawi na urogaji kill ni kituowadau, hasa wanaoishi Zanzibar naomba msaada wenu,
Nitakuwa Zanzibar kikazi kwa mwaka mmoja kuanzia mwezi wa pili.
Natafuta Nyumba ya kupanga 1 Bedroom ikiwa master room ni vyema zaidi, Sitting room na jiko.
Kama itakuwa ngumu kupata basi walau 1 master bedroom, sitting room na jiko. Itapendeza zaidi nyumba ikiwa ndani ya fence.
Ningependa maeneo ya Stone Town, Malindi, Mlandege, Mandege na Vikokotoni kwa kifupi Wilaya ya Mjini
Mwenye taarifa tafadhali ni PM......
Bajeti yangu ni kuanzia 80k hadi 200k
Naomba kuwasilisha
wadau, hasa wanaoishi Zanzibar naomba msaada wenu,