Nicho North11
Member
- Mar 28, 2019
- 29
- 46
Ya Bei gani uwezo wako,na iwe na room ngapiHabari zenu wadau!
Natafuta Nyumba Yenye Masterbedroom, Sitting room, kitchen iwe ndani ya Fensi maeneo ya Kuanzia Tegeta kwa ndevu hadi Mbezi African lakini iwe karibu na Barabara ya New Bagamoyo.
Mwenye nayo anicheki PM hatakosa hata ya Maji.
Uzi tayari.
Umekuja chapNimekuja mkuu, ila ataje budget yake, amejipanga pangaje, kuna budgeti zingine hata sijisumbui
Kazi tena!Umekuja chap