Natafuta oda ya nyama

Ndubaa

Member
Joined
Nov 1, 2009
Posts
6
Reaction score
1
Habari za kwenu ndugu zangu wadau mimi naitwa Richard Joel ni mfanyabiashara wa nyama wa muda mrefu sasa nimeingia kwenye Blong hii ili kuweza kutafuta masoko wale wote ambao wanahitaji nyama iwe kwenye Makampuni, Mahotel, Mashuleni,Mahospitalini, na sehemu zozote zile usafiri upo mpaka mahali utakapo hitaji
kwa mawasiliano zaidi
richardjoel@rocketmail.com
0713349923
 
wamesikia mkuu...............tuombe wengi waione hii thread yako ili upate soko mi mwenyewe ntajitahidi maana kuna jamaa zangu wana mabucha japo hujasema iwapo pia unaweza kuwasupply..........
 
sehemu gani ya ng'mbe unauza? au nyama y aaina gani??? beef, fillet,.....
 

Karibu Richard kwenye blong'

unauza nyama ya nini?
 

Karibu Richard kwenye blong'

unauza nyama ya nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…