Natafuta office chair na table za bei nafuu wapi nitapata ?

Natafuta office chair na table za bei nafuu wapi nitapata ?

leseiyo

Senior Member
Joined
Oct 25, 2007
Posts
116
Reaction score
3
Natafuta vita na meza za ofisini za bei nafuu. Wapi naweza kupata?
 
Mkuu swali lako halijitoshelezi...kwanza wewe upo wapi? Tzania, au nje ya tanzania?...kama upo ndani ya tzania upo jiji/mkoa gani xctly?..kama upo dar...jaribu hadi furnitures wapo makutano ya barabara ya morogoro na kitu kama libya.....
Swali la kizushi...bei nafuu kwako ni kuanzia tshs..ngapi kwa kiti na tshs ngapi kwa meza?

Ni maoni tu mzeeeeeiyaaa
 
Wewe kuwa serious unasema unatafuta viti au vita?

Kama upo serious kuna jamaa angu majuu ni agent wa samani anweza kukupatia hivyo vitu.
 
Back
Top Bottom