Mkuu swali lako halijitoshelezi...kwanza wewe upo wapi? Tzania, au nje ya tanzania?...kama upo ndani ya tzania upo jiji/mkoa gani xctly?..kama upo dar...jaribu hadi furnitures wapo makutano ya barabara ya morogoro na kitu kama libya.....
Swali la kizushi...bei nafuu kwako ni kuanzia tshs..ngapi kwa kiti na tshs ngapi kwa meza?
Ni maoni tu mzeeeeeiyaaa