Natafuta office inayojishughulisha na laser cut na laser engraving.

Natafuta office inayojishughulisha na laser cut na laser engraving.

mjasiliaupeo

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2013
Posts
2,162
Reaction score
3,088
Habari wana jf! Yoyote mwenye kujua contact za office zinazojishughulisha na laser cutting na laser engraving naomba aweke kwenye comment au ni private message.
 
Mkuu ndo nini hicho naomba tudadavulie hizo kwa faida yangu na wenzangu tupate japo uelewa kidogo
 
Mkuu ndo nini hicho naomba tudadavulie hizo kwa faida yangu na wenzangu tupate japo uelewa kidogo

Hiyo ni mashine inayokata, inatumia laser sio blade kama plotter,

Unaweza safisha macho

Back
Top Bottom