mjasiliaupeo JF-Expert Member Joined Apr 21, 2013 Posts 2,162 Reaction score 3,088 Mar 7, 2017 #1 Habari wana jf! Yoyote mwenye kujua contact za office zinazojishughulisha na laser cutting na laser engraving naomba aweke kwenye comment au ni private message.
Habari wana jf! Yoyote mwenye kujua contact za office zinazojishughulisha na laser cutting na laser engraving naomba aweke kwenye comment au ni private message.
mjasiliaupeo JF-Expert Member Joined Apr 21, 2013 Posts 2,162 Reaction score 3,088 Mar 27, 2017 Thread starter #2 Bado naitafuta
TMAN8 Senior Member Joined May 25, 2012 Posts 165 Reaction score 41 Apr 1, 2017 #3 Yupo mtu ana mashine nyumbani kwake
mjasiliaupeo JF-Expert Member Joined Apr 21, 2013 Posts 2,162 Reaction score 3,088 May 13, 2017 Thread starter #4 TMAN8 said: Yupo mtu ana mashine nyumbani kwake Click to expand... Ni connect naye mkuu!
mjasiliaupeo JF-Expert Member Joined Apr 21, 2013 Posts 2,162 Reaction score 3,088 May 13, 2017 Thread starter #5 Bado natafuta.
puttin JF-Expert Member Joined May 17, 2015 Posts 226 Reaction score 366 May 13, 2017 #6 Mkuu ndo nini hicho naomba tudadavulie hizo kwa faida yangu na wenzangu tupate japo uelewa kidogo
mjasiliaupeo JF-Expert Member Joined Apr 21, 2013 Posts 2,162 Reaction score 3,088 May 13, 2017 Thread starter #7 puttin said: Mkuu ndo nini hicho naomba tudadavulie hizo kwa faida yangu na wenzangu tupate japo uelewa kidogo Click to expand... Hiyo ni mashine inayokata, inatumia laser sio blade kama plotter, Unaweza safisha macho
puttin said: Mkuu ndo nini hicho naomba tudadavulie hizo kwa faida yangu na wenzangu tupate japo uelewa kidogo Click to expand... Hiyo ni mashine inayokata, inatumia laser sio blade kama plotter, Unaweza safisha macho