Natafuta ofisi ya kupangisha - Dodoma

Natafuta ofisi ya kupangisha - Dodoma

Ukitu

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2016
Posts
216
Reaction score
181
Habari

Natafuta sehemu kwa ajili ya kufungua offisi Dodoma.

- Offisi hio iwe mjini Dodoma au karibu na mjini kabisa
  • Sehemu tulivu
  • Offisi iwe near karibu na public transport
  • itapendeza sana ikiwa kwenye haya majengo marefu
- Budget ni 450k kwa mwezi

Kwa yoyote ambaye anaweza kusaidia kufanikisha hili naoma nitumie sms,tuwasiliane

Shukrani
 
Kuna jengo limezinduliwa majuzi na CDF mstaafu karibu na mataa ya kwenda kwa Waziri Mkuu along Morogoro Road. Fuatilia hapo ujue wanapangishaje.
 
Kuna jengo limezinduliwa majuzi na CDF mstaafu karibu na mataa ya kwenda kwa Waziri Mkuu along Morogoro Road. Fuatilia hapo ujue wanapangishaje.
Ahsante, hili nimeshapita
Ila liko juu kidogo sqr meter moja gharama zinaenda mpka 40k+ ambayo ni kubwa sana kwa budget yetu
 
Msaada wadau bado sijafanikiwa
 
Dodoma kwa sasa imepanda hivi, how comes costs kwa buildings zimepanda hivi mpaka mtu mwenye 400K anakosa space for rent. I believe unataka space kubwa kwa ajili ya ofisi yako?? Jaribu kutafuta area around Manispaa ya zamani even kwenye floors, au wings za juu ya jengo it will be preferably for you and you 'll be satified.
 
Hapana kaka
Natafuta tuu sehemu ya kawaida sio kubwa kiasi hicho
Watu 4-5 waweze kukaa conformable na meza yake ivo yaani
Ila ntafuta sipati. ntajaribu kwenda huko uliko nishauri
 
Back
Top Bottom