Ahsante, hili nimeshapitaKuna jengo limezinduliwa majuzi na CDF mstaafu karibu na mataa ya kwenda kwa Waziri Mkuu along Morogoro Road. Fuatilia hapo ujue wanapangishaje.
Hapana kakaDodoma kwa sasa imepanda hivi, how comes costs kwa buildings zimepanda hivi mpaka mtu mwenye 400K anakosa space for rent. I believe unataka space kubwa kwa ajili ya ofisi yako?? Jaribu kutafuta area around Manispaa ya zamani even kwenye floors, au wings za juu ya jengo it will be preferably for you and you 'll be satified.