Natafuta ofisi ya kusambaza vyakula

Natafuta ofisi ya kusambaza vyakula

Joined
Apr 18, 2017
Posts
86
Reaction score
57
Ninatafuta ofisi hapa Dar es Salaam ambazo naweza kusambazia chakula cha mchana 🥗 🥘
Nina Wali, Pilau, Ugali & Ndizi kwenye MENU . (Ila unaweza kuhitaji kingine ambacho hakipo kwenye MENU na ukatengenezewa)

Sample ipo kwenye picha hapo chini 👇🏿

Bei zangu ni 3,000/- TZS tu

Call/Text/WhatsApp: +255676095799

48F0FBB5-C63B-4A73-85D9-7BA567634DEB.jpeg
 
Ninatafuta ofisi hapa Dar es Salaam ambazo naweza kusambazia chakula cha mchana [emoji1637] [emoji1638]
Nina Wali, Pilau, Ugali & Ndizi kwenye MENU . (Ila unaweza kuhitaji kingine ambacho hakipo kwenye MENU na ukatengenezewa)

Sample ipo kwenye picha hapo chini [emoji1541]

Bei zangu ni 3,000/- TZS tu

Call/Text/WhatsApp: +255676095799

Tunakuombea sana
 
Hii haijaeleweka,,unatafuta flame au unatafuta soko la bidhaa yako?
 
Natafuta ofisi za kusambazia chakula means natafuta markets si frame kaka
Ofisi ya kusambazia chakula,ina maana muundo mbinu ambamo toka hapo ndo utatumia kusambaza chakula,kwa maneno mengine Outlet,,
Au wewe chakula chako unauzia maofisini tu?,
 
Mungu abariki kazi ya mikono yako mkuu
 
Maofisi mengi njaa kali mkuu, nenda sehemu za wafanyabiashara pia usitegemee maofisi tu
 
Back
Top Bottom