Alex Hamadi Hamis
Member
- Apr 18, 2017
- 86
- 57
Tunakuombea sanaNinatafuta ofisi hapa Dar es Salaam ambazo naweza kusambazia chakula cha mchana [emoji1637] [emoji1638]
Nina Wali, Pilau, Ugali & Ndizi kwenye MENU . (Ila unaweza kuhitaji kingine ambacho hakipo kwenye MENU na ukatengenezewa)
Sample ipo kwenye picha hapo chini [emoji1541]
Bei zangu ni 3,000/- TZS tu
Call/Text/WhatsApp: +255676095799
Nimeshakutumia message, check it out!Mkuu,PM tufanye kazi.
Natafuta ofisi za kusambazia chakula means natafuta markets si frame kakaHii haijaeleweka,,unatafuta flame au unatafuta soko la bidhaa yako?
Ofisi ya kusambazia chakula,ina maana muundo mbinu ambamo toka hapo ndo utatumia kusambaza chakula,kwa maneno mengine Outlet,,Natafuta ofisi za kusambazia chakula means natafuta markets si frame kaka