Hajto JF-Expert Member Joined Sep 30, 2013 Posts 5,646 Reaction score 5,606 Jun 19, 2021 #1 Habari zenu waungwana, Nataka kutengenezewa kadi za kuomba mchango wa harusi. Je, ni wapi naweza kupata kwa bei rahisi? Nipo Dar
Habari zenu waungwana, Nataka kutengenezewa kadi za kuomba mchango wa harusi. Je, ni wapi naweza kupata kwa bei rahisi? Nipo Dar
Inog01 JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 1,291 Reaction score 1,961 Jun 19, 2021 #2 Hajto said: Habari zenu waungwana,nataka kutengenezewa kadi za kuomba mchango wa harusi,je ni wapi naweza kupata kwa bei rahisi.nipo dar Click to expand... Nenda stationary iliyokaribu ama,ingia Instagram tafuta ndugu utapata tu
Hajto said: Habari zenu waungwana,nataka kutengenezewa kadi za kuomba mchango wa harusi,je ni wapi naweza kupata kwa bei rahisi.nipo dar Click to expand... Nenda stationary iliyokaribu ama,ingia Instagram tafuta ndugu utapata tu
Hajto JF-Expert Member Joined Sep 30, 2013 Posts 5,646 Reaction score 5,606 Jun 19, 2021 Thread starter #3 Inog01 said: Nenda stationary iliyokaribu ama,ingia Instagram tafuta ndugu utapata tu Click to expand... Ok shukurani kwa ushauri wako
Inog01 said: Nenda stationary iliyokaribu ama,ingia Instagram tafuta ndugu utapata tu Click to expand... Ok shukurani kwa ushauri wako
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jun 19, 2021 #4 Ngoja waje kukupa muongozo...
ARV JF-Expert Member Joined Sep 6, 2011 Posts 5,337 Reaction score 7,593 Jun 19, 2021 #5 +255 716 400 321 Huyu dada ni mkali kwenye hizo mambo.