Natafuta ofisi zitakazosaidia kupata scholarship

Natafuta ofisi zitakazosaidia kupata scholarship

Nyamgluu

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2006
Posts
3,160
Reaction score
1,726
Habari wakuu,
Kama kuna anaejua ofisi hapa bongo inayoweza kuhangaika kwa niaba yangu kutafuta scholarship na ni ilipe anisaidie kwa PM please, maana naona kazi!
 
unataka ya ndan au ya nje? na kama ni nje nchi gan? na je unataka ya masterz au phd? weka details vema nitakusaidia hapahapa ili na wengine wafaidike, jf ni umoja
 
Hata mimi nahitaji scholarship.nataka nikasome masters india.
 
mkuu mi natafuta scholarship ya bachelor of archtecture, any english speaking country, hata scholarship za ndani sawa..
 
Masters za community development.

unataka ya ndan au ya nje? na kama ni nje nchi gan? na je unataka ya masterz au phd? weka details vema nitakusaidia hapahapa ili na wengine wafaidike, jf ni umoja
 
Mkuu mi natafuta scholarship ya masters of medicine nje ya nchi, nina degree ya doctor of medicine.
 
Habari wakuu,
Kama kuna anaejua ofisi hapa bongo inayoweza kuhangaika kwa niaba yangu kutafuta scholarship na ni ilipe anisaidie kwa PM please, maana naona kazi!

wakuu na mm niunganishe hapa hapa,nina admission ya PhD sweden,lkn nimezunguka kutafuta hiyo hela nimechemsha,mwenye kujua wapi naweza pata anisaidie wakati akimsaidia Nyamgluu!
 
Back
Top Bottom