Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Wakuu natafuta pacha wa kike ambae atakuwa anatumia avatar hii ya kike ambayo inafanana na avatar yangu!😁😁😁Sifa kubwa awe na tamaduni kama za kwangu hapa jukwaani na awe ni mdada🤗.Kama unataka kuwa pacha angu wa kike basi chukua picha hii na uifanye kuwa avatar yako kisha nijulishe kuwa umekubali kuwa pacha angu wa hiari🤗.Nikiwa nacomment mahali basi nitakuwa nasema cc.pacha angu fulani!🤗