Kama kichwa cha habari kinavyoeleza wadau naomba msaada wa madarasa au apartment naweza nikafanya partition
Lengo langu ni kuanzisha courses ndogo ndogo na tuition programmes ,
Nataka maeneo ya mwenge au kariakoo au ubungo Dar es salaam;
Nina hela isiyozidi laki tatu na nusu kwa mwezi ,kama kuna sehemu ipo naomba tuwasiliane kwa namba zifuatazo
0716 282 670/0759 146483