Natafuta part time job accountant arusha

chuku

Member
Joined
Jun 9, 2009
Posts
40
Reaction score
0
Wana JF Nependa kuwa shirikisha katika swala langu la PART TIME Aaccoutant napendelea Arusha.
 
Hiyo kazi unayoitaka umeisomea chuo gani na mwaka gani?, na uko tayari mkoa wowote?
 
Wana JF Nependa kuwa shirikisha katika swala langu la PART TIME Aaccoutant napendelea Arusha.


Je wana arusha wakipata anayetaka mhasibu lakini wa full time uko tayari tukujilishe au ni kama ulivyo insist kwamba ni part time?
 
Nashukuru kwa ushirikiano ,hata ikipatikana ya Fulltime me niko tayari kwa hapa Arusha.Naomba tuendelee kushirikiana.
 
Kwa Accountant kuwa part time si dhani kaka, may be msaidizi ktk idara ya uhasibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…