Habari wakuu.
Naimani wote mko salama na majukumu yanakwenda. Ninatafuta Kazi ya muda mfupi/mrefu ya kufanya data analysis and visualization na creating of dashboard kwakutumia Excel. Kama utahitaji niwepo kwenye data collection pia nipo tayari.
Natanguliza shukrani na kuwatakia siku njema