Natafuta Part time job/ night shift

Natafuta Part time job/ night shift

Martin Ntuli

Member
Joined
Aug 2, 2023
Posts
6
Reaction score
7
Habari zenu,

Nimeona niombe humu kwenye JamiiForums kwasababu najuwa tupo watu wa sehemu tofauti tofauti pia wapo waliobarikiwa kiuwezo na wengine kiupeo. Naombeni connection jamani ya part time job nipo Dar es salaam hata ikiwa night shift pia 0750204294
 
Back
Top Bottom