Wewe ni mtu wa BPE bila shaka!!?Kwema wakuu,
Kutokana na changamoto za maisha, natafuta part time job kuanzia mwezi ujao mwishoni katika jiji LA Dar.
Ni professional Eng. Nina uwezo wa kufanya kazi katika kiwanda chochote cha processing na katika maabara yeyote ya processing.
Kwa maongezi zaidi, nipm
Nawasilisha
Sio kwamba kazi sina, ninayo tena nzuri tu, kwa maongezi zaidi nipmUnatafuta kazi kwa masharti hivyo kijana?
Sio miaka hii engineers walipata kazi kwa masharti 90's sio sasa kila nyumba kuna engineer by professional but anashinda betting stations.
Mkuu kazi ninayo tena nzuri tu, ila Nina sababu kufanya HV, ukitaka maelezo zaidi nipmKama bado uja pata ni PM natafta CCTV inayo tembea malipo tuna elewana ...au utaki[emoji41]
BPE ndio nini mkuu.Wewe ni mtu wa BPE bila shaka!!?