N ndelekio Member Joined May 5, 2012 Posts 31 Reaction score 5 Sep 20, 2012 #1 Mimi ni mwalimu specialist wa walemavu na physical Education,nipo Mwanza natafuta kibarua jamani kuanzia saa saba kamili,please anaeweza kunielekeza pa kuaply!!!
Mimi ni mwalimu specialist wa walemavu na physical Education,nipo Mwanza natafuta kibarua jamani kuanzia saa saba kamili,please anaeweza kunielekeza pa kuaply!!!
Nzenzu JF-Expert Member Joined Aug 10, 2011 Posts 858 Reaction score 164 Sep 21, 2012 #2 Kwa nini ni mpaka iwe saa saba? Ushauri wangu: hebu fatilia ofisi ya afisa elimu wawezapata taarifa!
N ndelekio Member Joined May 5, 2012 Posts 31 Reaction score 5 Sep 21, 2012 Thread starter #3 Thanx nzenzu saa7 coz nina kibarua kingine natoka saa saba,natafuta kwenye private sector!
Nzenzu JF-Expert Member Joined Aug 10, 2011 Posts 858 Reaction score 164 Sep 22, 2012 #4 ndelekio said: Thanx nzenzu saa7 coz nina kibarua kingine natoka saa saba,natafuta kwenye private sector! Click to expand... Poa ndugu yangu, jaribu kufatilia zaidi. Tupo pamoja!
ndelekio said: Thanx nzenzu saa7 coz nina kibarua kingine natoka saa saba,natafuta kwenye private sector! Click to expand... Poa ndugu yangu, jaribu kufatilia zaidi. Tupo pamoja!
N ndelekio Member Joined May 5, 2012 Posts 31 Reaction score 5 Sep 26, 2012 Thread starter #5 thanx rafiki!