Nelson Kapaya
Member
- Aug 7, 2014
- 99
- 15
Nataka kufanya kazi za kutengeneza fanicha za chuma nahitaji mtu wa kushirikiana nae.
Aliye tayari tunzungume tafadhali. Niko Dar - Kawe
Aliye tayari tunzungume tafadhali. Niko Dar - Kawe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi kuhusu funiture za mbaoNataka kufanya kazi za kutengeneza fanicha za chuma nahitaji mtu wa kushirikiana nae.
Aliye tayari tunzungume tafadhali. Niko Dar - Kawe
Nipo tayari. 0719794789Nataka kufanya kazi za kutengeneza fanicha za chuma nahitaji mtu wa kushirikiana nae.
Aliye tayari tunzungume tafadhali. Niko Dar - Kawe
Kazi zote zinaweza kwenda pamoja brother, kwa kitafutwacho hapo ni pesa tuVipi kuhusu funiture za mbao
Nitakupigia broNipo tayari. 0719794789
Kiasiuna ujuzi wa Welding?