Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,809
- 11,462
Karibu mkuu.Heheheheh
You got a point kaka. Ila kwa upande wa PREDICTION. Nadhani nimekosea kutumia hilo neno. Badale yake ilitakiwa kuwa 100% sure soccer tips.Zipo online site nyingi sana za bure na zenye uzoefu plus zina wataalamu wa soka. Huoni kama unapotaka kuwekeza hapatakulipa especially ukizingatia wabongo wengi bado wapo chini katika huo mchezo na hata wale waliopo wengi wao hawapo tayari kutoa fedha kwa kitu ambacho hata wewe huna uhakika nacho. Predictions are just predictions no more no less.
100% are you god? Utajifunga vip au compensate vip pale wateja wako watakapopata hasara kwa hiyo assurance?You got a point kaka. Ila kwa upande wa PREDICTION. Nadhani nimekosea kutumia hilo neno. Badale yake ilitakiwa kuwa 100% sure soccer tips.
Hakuna sure kwenye prediction ww..ndio maana tunasema ubashiri ambao unaweza kutokea ama la.rahisi tunasema ni kubahatisha hata ww si kila siku itakuwa na uwezo wa kubashri sahihiYou got a point kaka. Ila kwa upande wa PREDICTION. Nadhani nimekosea kutumia hilo neno. Badale yake ilitakiwa kuwa 100% sure soccer tips.
Kama ana uhakika wa kubashiri 100% sasa anataka kampuni ya nn? si awe anabashiri anapiga hela kila sikuHakuna sure kwenye prediction ww..ndio maana tunasema ubashiri ambao unaweza kutokea ama la.rahisi tunasema ni kubahatisha hata ww si kila siku itakuwa na uwezo wa kubashri sahihi
Besides kama yupo 100% sure si abet mwenyewe apige hela ya maana,Hakuna sure kwenye prediction ww..ndio maana tunasema ubashiri ambao unaweza kutokea ama la.rahisi tunasema ni kubahatisha hata ww si kila siku itakuwa na uwezo wa kubashri sahihi
Hehehe that's what's up mkuuKama ana uhakika wa kubashiri 100% sasa anataka kampuni ya nn? si awe anabashiri anapiga hela kila siku
Umewaza vyema sana kaka. Kama lengo ni kutengeneza pesa... Kwa hii comment umeudhihirisha utapeli wakeKama ana uhakika wa kubashiri 100% sasa anataka kampuni ya nn? si awe anabashiri anapiga hela kila siku
Kama hujui kitu unapiga kimya. Acha ujinga. Anyway, mimi napiga hela uchao. Nina majukumu mengine, mimi ni muajiriwa. Sipati muda wa kutosha. Na hiki ninachotaka kufanya si kuwa nabahatisha. Nahitaji mtu ambaye nitamfundisha pia lakini mwenyewe muda kuliko nilivyo mimi. Hapo hakuna utapeli wowote, so far nimesema nitakutana na mbia na nitamjuza namna navyofanya mathematical calculations zangu na yeye kuprove track ya matokeo ya nyuma na mapya.Umewaza vyema sana kaka. Kama lengo ni kutengeneza pesa... Kwa hii comment umeudhihirisha utapeli wake
Mimi Niko tayari, ILA ili niwe na uhakika, nipe kwanza gemu 10 za Leo.. Mkeka ukitiki asilimia 90 na kuendelea, we can do itKama hujui kitu unapiga kimya. Acha ujinga. Anyway, mimi napiga hela uchao. Nina majukumu mengine, mimi ni muajiriwa. Sipati muda wa kutosha. Na hiki ninachotaka kufanya si kuwa nabahatisha. Nahitaji mtu ambaye nitamfundisha pia lakini mwenyewe muda kuliko nilivyo mimi. Hapo hakuna utapeli wowote, so far nimesema nitakutana na mbia na nitamjuza namna navyofanya mathematical calculations zangu na yeye kuprove track ya matokeo ya nyuma na mapya.