Natafuta partner kwa kazi ya business plan

fdizzle

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
1,902
Reaction score
2,396
Wakuu habari?
Natafuta partner ambae tutashirikiana kuandaa kazi za business plan kwa kufungua ofisi kwa hapa Dar Essay Salaam.
Kwa atakaekuwa tayari aje pm tuyajenge
 
Dah nimekumbuka mbali sana. Nilipo maliza Chuo nilijaribu sana kufanya hii kitu. Ila mazingira yakwa sio rafiki.

Kwanza tambua Mambo ya Business planing sio utamaduni wa wabongo wengi sana.

Huwa wanaandaa pale wanapo takiwa na benki na wale wafanya kazi wa benki wana watu wao wa kuandaa hizi plan. Sasa mteja asipo andaa kwa watu wale unaweza shangaa Inapigwa figusofigusi zs hatari sana benki.

Kwa ujumla mambo ya Business consultance bado mno tena sana.

Ni biashara yenye changamoto sana na pia sio ya kuitegemea utalala njaa,Kama ndo unatoka chuo tafuta biashara ya Daily income.

Daily income maana yake kwamba kila siki uwe unaingiza cent kadhaa. Hii ua business planing itakulaza njaa labda iwepo tu ikitokea ukaotea kazi sawa.
 
Ntumie basi japo business plan mbili hivi ulizoziandaa mkuu

Back
Top Bottom