Dah nimekumbuka mbali sana. Nilipo maliza Chuo nilijaribu sana kufanya hii kitu. Ila mazingira yakwa sio rafiki.
Kwanza tambua Mambo ya Business planing sio utamaduni wa wabongo wengi sana.
Huwa wanaandaa pale wanapo takiwa na benki na wale wafanya kazi wa benki wana watu wao wa kuandaa hizi plan. Sasa mteja asipo andaa kwa watu wale unaweza shangaa Inapigwa figusofigusi zs hatari sana benki.
Kwa ujumla mambo ya Business consultance bado mno tena sana.
Ni biashara yenye changamoto sana na pia sio ya kuitegemea utalala njaa,Kama ndo unatoka chuo tafuta biashara ya Daily income.
Daily income maana yake kwamba kila siki uwe unaingiza cent kadhaa. Hii ua business planing itakulaza njaa labda iwepo tu ikitokea ukaotea kazi sawa.