Natafuta partner kwenye machimbo (Lugoba)

Natafuta partner kwenye machimbo (Lugoba)

laurentie

Senior Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
100
Reaction score
77
Habari wadau natafuta mwekezaji mwenza kwenye machimbo ya magnecite Lugoba. Nina machine zote za uchimbaji, nahitaji mtu atakae wekeza kwenye mafuta na kulipia gharama za opereta wa machine tu, na kununua vilipuzi na chakula cha mgodini tu kuna kazi nilishafanya mwanzo inahitaji kumalizia tu.

Soko la kiwandani lipo na mkataba wa oda upo

Unahitajika kuwa na kiwango kisichopungua 10mil .

Kwa maelezo zaidi tuwasiliane 0622115570,0782719980.
 
Bank hawatoi hela ya mkataba boss mm nimfanya biashar a wa muda mrefu tu hii ofa ina expire nikipata pesa hii fursa basi
 
mkuu hiyo Magnetite soko lake vipi ni la uhakika? maana kuna babu yangu mmoja kilind huko alinipa jiwe nikapime nikaambiwa ni magnetite..nipe madini/maelezo juu ya hii magnetite..wew ni mzoefu
 
mkuu hiyo Magnetite soko lake vipi ni la uhakika? maana kuna babu yangu mmoja kilind huko alinipa jiwe nikapime nikaambiwa ni magnetite..nipe madini/maelezo juu ya hii magnetite..wew ni mzoefu
Hebu hapa twende sawa, hayo madini ni MAGNECITE au MAGNETITE!? Mleta uzi huu ndio ajibu!
 
Back
Top Bottom