Ziko sababu nyingi za kutokukuaUnaposema Nile Tilapia hakui vizuri unamaanisha nini? Watu wanatoa gram 400 kwa miezi mitano wakitumia system ya RAS na mbegu ya dume tupu(YY) na mwingine kafuga YY kwenye bwawa la asili katoa gram 600 miezi 6. Unaposema hawakui sikuelewi. Maana kwa miezi 6 uvune samaki mmoja ana nusu kilo huwezi kupata hasara kamwe
Uko sahihi.Ziko sababu nyingi za kutokukua
Miungoni mwazo ni chakula mbegu usimamizi na mazingira.
Ila kwa sasa kunaimprovement kubwa sana samaki wanafika mpaka gram 600
MtaalamuKazi sana kuweka mawasiliano yako public, mtu anakupgia simu anaanza kuzungumzia mahusiano, mie sijasema natafuta mchumba au mpenzi, nipigie kama unataka ushauri juu ya ufugaji samaki,
Safisha bwawa lako kwa kuondoa maji yote, kisha fanya liming na liache kwa siku 3 baada ya hapo weka maji na yaache kwa 14siku, baada ya hapo weka vifaranga vyako.Mtaalamu
Kuna dawa yoyote inafaa kuweka kwenye bwawa ili kuua viumbe hai wote kama perege, kambale, vyura na kaa kabla sijaweka mzigo mpya wa Sato?
Sawa sawa. Nitafanya hivyoSafisha bwawa lako kwa kuondoa maji yote, kisha fanya liming na liache kwa siku 3 baada ya hapo weka maji na yaache kwa 14siku, baada ya hapo weka vifaranga vyako.
Samahani kwa kuchelew kujibu mkuu