Star onair
Senior Member
- May 31, 2020
- 144
- 145
Tumia kampuni zinazosafirisha mizigo,.Ukienda Dar tembelea kidongo chekundu ndio ofisi zao zilipo watakupa connection ya gari za huku mikoani.Habar zenu jamani.
Kama kuna mtu anauzoefu wa kusafirisha mazao kwa kutumia mafuso katika mikoa hii Morogoro, Mbeya na Iringa. We can join together na ku-transport mzigo.
Nimechoka Kusafirisha mahindi kwa njia ya bus coz inanifanya nashindwa kusupply mzigo mwingi. Kwa wiki najikuta naleta gunia 6-8.
Uzoefu wenu upoje kwenye mazao ya mboga mboga kama hoho, nyanya, bamia bili bilinganya nk. Kutoka nyanda za juu to Dom.Unasafirisha mzigo kutoka wapi kwenda wapi? Mimi nipo hapa sana kazi naweza ungana na wewe tukawa tunapakia mzigo kwenye malori halafu mimi nasafiri nayo.
Namba yangu 0687886600
Uaminifu ukoje hapo Mr Ruge?
Shaka ondoa mkuu. Matendo yanaongea vema kuliko maneno.Uaminifu ukoje hapo Mr Ruge?
Mimi sio msafirishaji bro. soma vzur comment yangu.Uzoefu wenu upoje kwenye mazao ya mboga mboga kama hoho, nyanya, bamia bili bilinganya nk. Kutoka nyanda za juu to Dom.
Wewe mzanzibari unatudiss sana wabongo.tumekukosea nn mkuu?Tatizo kuu la wa TZ hilo
wewe mzanzibari unatudiss sana wabongo.tumekukosea nn mkuu?