Natafuta partner wa kuuza mafuta ya alizeti

Nazaely shani

Member
Joined
Jun 12, 2020
Posts
7
Reaction score
4
Habari wana JF Mimi ni mwanachuo katika chuo kikuu cha st Joseph kipo mbezi kimara,Dar es salaam.
Nahitaji partner .ambae tunaweza kufanya biashara pamoja ya kuuza mafuta ya alizeti kwa sababu Mimi ni mwenyeji pia wa mkoa wa singida na mafuta yanapatikana kwa wingi huko.

no yangu ni 0657169715
E-mail nazaelyshani@gmail.com
 
Hujaeleza vizur una mtaj wa sh.ngap?, Business partner anatakiwa awe wa dar au singida n.k? Inshort maelezo Yana lack vitu vingi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…