MD25
JF-Expert Member
- Jan 28, 2012
- 3,074
- 1,023
Habari wanabodi. Nimekuwa na wazo la kufungua kampuni ya ICT & Electrical Co., kwa muda mrefu sana. Leo nimeona nilileta kwenu ili tuweze kushauriana... Ninahitaji partners wawili (2), kwa ajili ya kufungua biashara niliyoitaja hapo juu. Mmoja LAZIMA awe na qualifications za ICT/Electronics na mwingine awe na qualifications za Electrical. Hii biashara nataka tukaifanyie Mwanza, kwa sababu Mwanza ni mji unaokuwa, kwa hiyo hata initial capital haitakuwa kubwa sana, pili uwezekano wa kupata kazi utakuwepo. Hii partnership inahitaji watu 'wazima' ambao wako serious... Tukisha kubaliana tutafanya taratibu za kufungua Co. & all legal matters ili Co. iweze ku operate. Itatupasa tukubaliane kwanza kabla ya kufungua hiyo Co. Mimi nina qualification ya B. Com kutoka UDSM, kwa sasa nipo DSM. Mtu ambaye yuko na nia ani PM. Asante.