naomba kama kuna mwanaJF yoyote anayefahamu namna ya kupata past papers za somo la Kiingereza csee. Kwa anayefahamu au aliyenazo (za miaka yoyote nyuma mpaka kufikia 2011) naomba aniPM tafadhali.
Hebu jaribu kum PM Nyambale Nyangwine anaweza kuwa nazo...
Nyie vijana mnaosoma mitihani na kukalili majibu kwa vile yanajirudia mataliweza kweli soko la pamoja la afrika mashariki. Hakuna njia ya mkato ya Elimu, kamateni vitabu msome.