Habar za muda huu wanajamii. Mim ni mdada wa miaka 29, Muislamu ninaishi na HIV+ na nimejikubali kwa hiyo sio jambo ambalo linalonisumbua. I am physically fit Alhamdulillah,
Changamoto kubwa ni kupata patner ambae tunaweza kuwa pamoja kwenye mahusiano ni tukijaliwa ndoa In sha Allah. Awe na same status na hana self STIGMA
Awe mtu wa kujishughulisha, na kujua responsibilities zake,
Mwenye elimu angalau, open minded ambaye tukichanganya mawazo yetu tutafanya mambo ya kimaendeleo! Mim nafanya kaz kwenye private sector,
Im caring, softhearted and cool,
naishi Arusha akiwa na yeye anatoka Arusha or near bye itakua poa
Awe muislam pia, a beliver, anaeamin kuna Qadar. Umri kuanzia 30 to 39 Any one ambae yupo serius na anadhan tunaweza tukaianza safar mpya please your welcome
Life still has a lot to offer
To anyone out there with too much hate to a positive people please save your hate!! Its only take a second to change status, Be Postive Minded