Natafuta mtu ambae yupo tayari kufanya kazi kwa muda wa ziada bila kuingiliana na kazi yake,ambayo itamuwezesha kupata kipato cha ziada nje ya mshahara wake.kwa aliyetayari tuwasiliane.
Itakuwa ni biashara ya network marketing! Biashara ya kuuza forever living products au GNLD. Anataka ku-expand network yake ili apate commission ya kutosha.