MR Kilimanjaro
JF-Expert Member
- May 5, 2019
- 249
- 358
Nataka ninunue ka laptop kadogo used naomba kuuliza nizingatie nini ili nijue ni nzima? Na pia kama kuna mdau anayo tuwasiliane!.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni vyema ukaweka bayana bajeti yako ni TZS. ngapi? Ili upewe pendekezo stahiki.ka laptop kadogo used naomba kuuliza nizingatie nini ili nijue ni nzima?
Niambia bajeti yako nikuleteeNataka ninunue ka laptop kadogo used naomba kuuliza nizingatie nini ili nijue ni nzima? Na pia kama kuna mdau anayo tuwasiliane!.
Nina 200000Ni vyema ukaweka bayana bajeti yako ni TZS. ngapi? Ili upewe pendekezo stahiki.
taja bajeti yako na hiyo pc ni kwa ajili ya matumizi gani i.e editing,gaming,or normal pc
kwanza angalia matumizi yako. una matumizi ya aina gani? kawaida tu kusomea na kuchapa, kuangalia movie tu ndani? kuchezea games, kufanya graphic designs n.kNataka ninunue ka laptop kadogo used naomba kuuliza nizingatie nini ili nijue ni nzima? Na pia kama kuna mdau anayo tuwasiliane!.