Natafuta pc

MR Kilimanjaro

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2019
Posts
249
Reaction score
358
Nataka ninunue ka laptop kadogo used naomba kuuliza nizingatie nini ili nijue ni nzima? Na pia kama kuna mdau anayo tuwasiliane!.
 
taja bajeti yako na hiyo pc ni kwa ajili ya matumizi gani i.e editing,gaming,or normal pc
 
Ungepeleka uzi huu kwenye uzi wa teknolojia ungepata msaada wa haraka
 
Nataka ninunue ka laptop kadogo used naomba kuuliza nizingatie nini ili nijue ni nzima? Na pia kama kuna mdau anayo tuwasiliane!.
kwanza angalia matumizi yako. una matumizi ya aina gani? kawaida tu kusomea na kuchapa, kuangalia movie tu ndani? kuchezea games, kufanya graphic designs n.k
maana usie nunua lori harafu unabebea kilo tatu za mchele , hayo ni matumizi mabaya ya rasilimali.

pia angalia bajeti yako, umeandaaa shilingi ngapi n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…