Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kinauzwa sh. Ngapi boss?[emoji23]hapana mzee kinauzwa ghali sana na sie masikin tuna kiu ya kusoma .
Asalaleee,hatariiiElf40 .
Kama ni hela hiyo nitanunua, Mimi nilidhani 200,000.Elf40 .
Mbona bei ya kawaida sana hiyo?Elf40 .
Unisaidie nitoe copy mkuu.Kama ni hela hiyo nitanunua, Mimi nilidhani 200,000.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] haki zote zimehifadhiwa, ukishikwa faini yake ni balaaUnisaidie nitoe copy mkuu.
Nenda ofisini kwake nàamini utapewa a free copyHabari wakuu ,naomba mwenye uwezo wa ku-share PDF ya kitabu tajwa hapo juu kwa wale walionacho katika mfumo wa PDF .
Tupe na sisi mkuu.kiweke hapaNilipata na nimeshakimaliza .
Mzee baba ushakpata? Unipasie na mieHabari wakuu ,naomba mwenye uwezo wa ku-share PDF ya kitabu tajwa hapo juu kwa wale walionacho katika mfumo wa PDF .
jitahidi ukiscan kwa kutumia camscaner ili upate pdf ili tupate knowledge pia mkuuNina hardCopy mkuu
Kimekusaidia nini mpaka sasa ambacho unaweza kusema kweli ela yako imeenda vzuriElfu 40?? mm nilinunua elf 30 wiki 2 baada ya kutoka