Natafuta PDF ya I can, I must, I will: Kitabu cha Dr. Mengi

Kusoma pamoja na kupanua maarifa ni refreshment kama unavyokunywa bia au kwenda club au kuangalia sinema. Sio mpaka upate physcal returns
Kimekusaidia nini mpaka sasa ambacho unaweza kusema kweli ela yako imeenda vzuri
 
Hicho kitabu na chenyewe kinataja VITABU alivyosoma Marehemu Mengi Mpaka akaupata utajiri.Maana Kusoma kitabu au kusikiliza Motivational Speaker bila kuchukua hatua ni kazi bure
 
Hayo maneno bila mtaji ni kazi bure.
Na kwenye hicho kitabu amewazungumzia watu wanaosema "TATIZO MTAJI" anasema kuna watu walisema hivyo akasema "haya mtaji huu niambie plan ya biashara" wakabaki kumung'unya maneno tu.
 
Yani watu wasiopenda kusoma vitabu point yao ni "KIMEKUSAIDIA NINI,KIMEKUPA NINI,UMEPATA MAFANIKIO GANI" jamani vitabu ni chakula cha ubongo ni kama wewe unavyoenda kuchukua maarifa kwa mababu zako au kwa tajiri hapo mtaani kwenu.
 
Na kwenye hicho kitabu amewazungumzia watu wanaosema "TATIZO MTAJI" anasema kuna watu walisema hivyo akasema "haya mtaji huu niambie plan ya biashara" wakabaki kumung'unya maneno tu.

Kama una akili ya kuwekeza na kusimamia vizuri miradi, ukipata pesa ukawekeza hakika utafanikiwa. Kama huna hiyo akili hata usome kitabu kilichoandikwa na kina Jack Ma, Billgates, Steve Johns n.k hutoboi. Katika ujasiriamali Cha kwanza ni WAZO(Fursa), Cha pili SOKO, tatu MTAJI Kisha masuala ya UBUNIFU ndo yanafata. Hata Kama ni kuuza maji ya kandoro bila mtaji ni kazi bure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…