Kigoma Independent
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 3,519
- 2,055
Kuna groula whatsaap jaamaa wanaweka vitabu kama balaa ninashusha mzigo tuNatafuta sana hiki Kitabu ni vimbe nacho.Ukisoma vitabu vya mbele mifano mingi wanayo itumia haiendani na life letu la Kibongo.
Pia ningepata Link ingenisadia sana kupakua vitabu
Ntumie Link kakaKuna groula whatsaap jaamaa wanaweka vitabu kama balaa ninashusha mzigo tu
sasa mtu amepiga zake bank huko wakiwa na mkono, wamefungua biashara, leo anakuja kukudanganya I can I nini sijui, na wewe unamwamini.
Hata kama angepiga mpunga Bankna akakosa akili ya kutumia kama kina Mwisho Mwampamba basi asinge fika pale alipo. Pia sisi wabongo hatuna kawaida ya kujisomea vitabu siku zote.Article they can take a plent of time to be prepare,but you can read for one time.sasa mtu amepiga zake bank huko wakiwa na mkono, wamefungua biashara, leo anakuja kukudanganya I can I nini sijui, na wewe unamwamini.