Natafuta Peanut butter Mashine ya Kukodisha Kwa Dar

Druggist

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2010
Posts
439
Reaction score
528
Salaam Wadau.Kama Una Mashine ya kusaga Karanga kuwa rojorojo upo Dar, njoo tuzungumze biashara.

Tunaweza kukupa mzigo kisha tukapatana utupe finished product au kila kitu kwako Sisi tunachukua rojorojo.Mashine iweze Kuchakata angalau Kilo 200 kwa Siku.
 
Hizi mashine hazipatikani sido kweli?
 
Back
Top Bottom