Natafuta perfume konki budget 50K

Natafuta perfume konki budget 50K

sonofobia

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2015
Posts
1,171
Reaction score
4,295
Wale watu wa perfume uwa tuna code zetu tunapasiana.

Mimi nimekwama kidogo so natafuta perfect ya isizidi 50K ya kiume inayonukia kishefa.

Ukinitajia jina na location ya kuipata nitafurahi.

Isiwe ya kupima wala rasasi au smart collection.

Karibuni
 
Fika kariakoo mitaa ya msimbazi hapa, ama nenda emat scents kumekucha plaza sinza, ama kwa Fabolous sinza madukani if not kijiweni
 
Mkuu sikukatishi tamaa, ila kama sio ya kupima kwa budget hiyo, labda upate konki master
 
Back
Top Bottom