music mimi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 485
- 876
Labda za kupimaNatafuta perfume original ya kike. Sitaki hizi feki au copy zilizozagaa.
Bajeti yangu ni elfu 50 naweza pata perfume gani na duka lipi?
Wauza perfume nyuzi zenu nishazipitia.
za kupima hapana.Labda za kupima
Nimepata kwa NorahKwapesa iyo huwezi kupata
InaitwajeNimepata kwa Norah
Storm.Inaitwaje
Made in UK inaweza kuwa fake?Hakuna perfume OG ya hiyo bei, labda za kichina
itakua ya quality ya chiniMade in UK inaweza kuwa fake?
Ok umeamia kwenye quality haya sawaitakua ya quality ya chini
ofcause inaweza ikawa brand ambayo siyo maarufu, yenye kutoa products zenye ubora hafifuOk umeamia kwenye quality haya sawa
Sawa mkuu ila inanukia vizuri.ofcause inaweza ikawa brand ambayo siyo maarufu, yenye kutoa products zenye ubora hafifu