Mimi ni kjana niliyeajiriwa kwenye kampuni moja mafuta Tanzania, lakini nimepata access ya running capital - mafuta pamoja na initial fund ya ku_run petrol station. Kwa yeyote mwenye connection anisaidie tufanye business; pia vituo vya watu binafsi navipa priority kubwa, coz vituo vya makampuni profit margin ndogo.!!!! Mwenye connection ani pm