nzalendo
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 12,106
- 12,916
Sherehe zilifanyika katika uwanja wa mpira wa Sheikh Amri Abeid Arusha mwaka 1987. Mgeni rasmi alikuwa Mwl. Nyerere baadhi ya picha ziliwekwa kwa muda pale kwenye jengo la Azimio la Arusha.
Pia kuna watu wa BBC walikuwa wana rekodi FILM (sasa hii sina hakika inaweza patikana wapi)
MSAADA TAFADHALI kama naweza kuzipata. NATANGULIZA SHUKRAN
ASANTE tena na tena
KUna mtoto wa kike alikuwa anaongoza vikosi vya chipukizi GETRUDA(Jetuu) chini ya uongozi wa kamanda SUMU. Pia kulikuwa na bendi ya CTU kutoka Monduli. Shughuli ilikuwa na mvuto wa kipekee