ungetupia na za mzee sumakuView attachment 2781265
View attachment 2781267
Nami naomba za juma na uledi mchezo maarufu niliusikiliza kupitia kanda za kaseti?
Kwani mzee jongo ndio mzee kipara?View attachment 2781265
View attachment 2781267
Nami naomba za juma na uledi mchezo maarufu niliusikiliza kupitia kanda za kaseti?
TofautiKwani mzee jongo ndio mzee kipara?
Mbona naona picha ya mzee kipara hapo juu?Tofauti
Huyo kwenye picha ni Mzee Kipara.View attachment 2781265
View attachment 2781267
Nami naomba za juma na uledi mchezo maarufu niliusikiliza kupitia kanda za kaseti?
Marehemu mzee Said Fundi al'maarufu mzee Kipara,alianza uigizaji mwaka wa 64.View attachment 2781265
View attachment 2781267
Nami naomba za juma na uledi mchezo maarufu niliusikiliza kupitia kanda za kaseti?
Asee Kuna kazi ni hazina faida zaidi kukupa umaarufu , kupanga ni kuchagua sometimes haina namna lazima usifanye kwasababu hakuna plan B lakini ishi nayo kwa mpango.Marehemu mzee Said Fundi al'maarufu mzee Kipara,alianza uigizaji mwaka wa 64.
Nakumbuka siku za mwisho za uhai wake alikuwa akilalamika sanaa yake kutomsaidia chochote kiasi cha kukosa makazi hadi wasanii wenzake wa Kaole kujichanga na kumpangishia nyumba maeneo ya Kigogo Mburahati.
Huyu ni kipara..mi nataka za Jongo. Nimezitafuta sana. Labda kwenye maktaba ya RTD au ITV.View attachment 2781265
View attachment 2781267
Nami naomba za juma na uledi mchezo maarufu niliusikiliza kupitia kanda za kaseti?
Huyu ni Mzee Kipara siyo JongoView attachment 2781265
View attachment 2781267
Nami naomba za juma na uledi mchezo maarufu niliusikiliza kupitia kanda za kaseti?
Muulize Jiwe akutupie kutoka kuzimu huko.Alikuwa akiitwa Ibrahim Raha maarufu kama mzee Jongo, alikuwa mzee wa makamo na msanii wa viwango vikubwa katika upande wa ucheshi. Kwa wanaokumbuka alianzia redio Tanzania na badae akahamia kwenye runinga ya ITV.
Usingeweza kuchoka kumtazama kwa vituko na maigizo ambayo yangeweza kukutoa kwenye kuigiza na kudhania ukweli.
Nimekuwa nikitafuta picha za huyu mzee ambaye kwa sasa ni marehemu bila mafanikio. Kwa mwenye picha au video clip za huyu mzee naomba tafadhali.
Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
Kivipi?Wahuni