Dili na wakurugenzi wa serikali au ma bwana shamba wa serikali za mitaa maana kuna za magao waliokuwa wamegewa wengine wameshindwa kuzuhudumia zimefungiwa stoo tu.
Dukani zipo ila bei mara ya mwisho kuulizia mwaka jana nimekuta ni 11milioni
Dili na wakurugenzi wa serikali au ma bwana shamba wa serikali za mitaa maana kuna za magao waliokuwa wamegewa wengine wameshindwa kuzuhudumia zimefungiwa stoo tuu.
Dukani zipo ila bei mara ya mwisho kuulizia mwaka jana nimekuta ni 11milioni