Natafuta Pikipiki bora kwa matumizi ya binafsi (sio kwa biashara) [boxer bm 150x vs tvs 150x)

Natafuta Pikipiki bora kwa matumizi ya binafsi (sio kwa biashara) [boxer bm 150x vs tvs 150x)

Screenshot_20230722-074714_Chrome.jpg

Hiyo Honda engine size gani?
125 to 150 CC
 
Mimi nakushauri ununue 125cc ya Moja kati ya hizo ulizo taja utakuja kunishukuru...unywaji wake wa mafuta ni wa kunusa...harafu kama sio mtu wa mbio 150cc sio nzuri inakunywa sana mafuta...kama hubebi mizigo tumia 125cc ya boxer au tvs inatosha sana 150cc utajuta...
 
Back
Top Bottom