Natafuta Pikipiki bora kwa matumizi ya binafsi (sio kwa biashara) [boxer bm 150x vs tvs 150x)

Mimi nakushauri ununue 125cc ya Moja kati ya hizo ulizo taja utakuja kunishukuru...unywaji wake wa mafuta ni wa kunusa...harafu kama sio mtu wa mbio 150cc sio nzuri inakunywa sana mafuta...kama hubebi mizigo tumia 125cc ya boxer au tvs inatosha sana 150cc utajuta...
 
SINORAY 250cc

Wadau, nikapita pita nikakutana na hii machine, mnaweza nishauri hapa? Zina changamoto gani au zipoje hz mashine? Naweza nunua hii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…