Habari wakuu. Natafuta pilipili za aina ya charapita (Aji Charapita yellow chilli peppers). Wakati mwingine huwa zinaota mashambani (wild charapita). Mwenye nazo tafadhali tuwasiliane 0676434611 au WhatsApp 0786817145.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.